Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ni Mamlaka ya Udhibiti wa Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Bunge namba 3 ya mwaka 2019.Kumbe unamaanisha LATRA. Nimewaza sana ratra ni kitu gani tena
Mbona hujasema "wanajambiana".Niende kwenye kero.
Ndani ya siku mbil hizi nimetembelea Bagamoyo. Bunju sokoni yamejaa magari (yamepaki).
Bagamoyo to Mbezi abiria wanateseka, wanapumuliana, wanabanana, wanabahashiana, wanasababishiana hasira na kuchafuana. Kiukweli nilitoa tusi zito sana liwafikie Sumatra.
Dada Faiza umenifanya nicheke kwa nguvu.Mbona hujasema "wanajambiana".
Kawa na stara kidogo sio kama wewe, "wanapumuliana"!Mbona hujasema "wanajambiana".
Ujumbe unatakiw aufike kama ilivyo. Kujamba binadam mbona ni kawaid tu, sasa coaster hizo mkishjazana kama dagaa halafu vikwapa, harufu za ngozi za wale wanaojichubuwa, harufu za mawigi yaliyojaa jasho (hayo harufu yake ndiyo kama matapishi), juu yake hapo unakikuta kikaka kimetioka kununuwa samaki bagamoy kinao humohumo wengine wameanza kuharibika wanaowa uvundo. Sasa yanakuja mashuzi mkianza kujambiana, na ushuzi ni kama mikojo, inaambukiza, ukiiisikia tu harufu ya ushuzi na wewe lazima ujambe.Kawa na stara kidogo sio kama wewe, "wanapumuliana"!
Poleni sana te sana nimekulewa. Kusudio ndiyo la kucheka kidogo ili hasira zipunguwe.Dada Faiza umenifanya nicheke kwa nguvu.
Kibaya zaidi mule ndani sisi wamama tunakivutio kwa nyuma Sasa wanaume wanafanya Yao.
Unaonakabisa dude limeamshwa, kichwa kinatafuta pakutokea.
Itafikia wkt wanaume wakishuka zipu zimelowa zimelowaa zimelowa zimeliaaaaπππππππ
Kwa namna moja mnafurahiaDada Faiza umenifanya nicheke kwa nguvu.
Kibaya zaidi mule ndani sisi wamama tunakivutio kwa nyuma Sasa wanaume wanafanya Yao.
Unaonakabisa dude limeamshwa, kichwa kinatafuta pakutokea.
Itafikia wkt wanaume wakishuka zipu zimelowa zimelowaa zimelowa zimeliaaaaπππππππ
Kwa nn nijitie stressKwa namna moja mnafurahia
Au sioKwa nn nijitie stress