Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna Afisa wa LATRA amekuwa akichukua fedha za madereva Bodaboda na Bajaj ili awalipie faini na malipo mengine ikiwemi ya stika, kisha kutofanya hivyo, mamlaka husika imejibu.
Kusoma tuhuma za Afisa huyo bofy hapa ~ Huyu Afisa anaichafua LATRA-Morogoro, anachukua fedha za stika na faini za Madereva Bajaji na kuanza kuwatisha
Salum Pazzy, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) anasema:
Huyo ambaye ametajwa kwenye tuhuma ni Mfanyakazi wa Kujitolea kutoka Ofisi ya Halmashauri ya Morogoro, siyo Mfanyakazi wa LATRA.
Ipo hivi, LATRA ina mkataba wa maelewano na Halmashauri (MOU), hivyo Halmashauri inatoa Lesini za Pikipiki na Bajaj kwa niaba ya LATRA.
Baada ya kuona hivyo tumeripoti hizo shutuma alizopewa kwa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Morogoro na wao wameahidi kuzifanyia kazi kama kweli anahusika basi hatua zitachukuliwa kwa mujibu wa Sheria.
Afisa anayetuhumiwa kuchukua hela za Madereva Bajaj (katikati)