KERO Latra Kigamboni Feri wanapandisha nauli ikifika mida ya giza

KERO Latra Kigamboni Feri wanapandisha nauli ikifika mida ya giza

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Shagiguku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
409
Reaction score
138
Usafiri wa daladala kwa sisi wakazi wa kigamboni ni kero na shida kubwa.
1. Giza likiingia nauli zinapandishwa juu; Zinakuwa tofauti na zile elekezi za serikali.

2. Jioni daladala zinafanya kazi kwa kujisikia saana. Konda awapakize ama awaache kwanza mgombanie daladala. Kisha akiamua ndo awapeleke ama awaache.

Serikali kupitia LATRA Tafadhari fanyieni kazi hizi kero mbili
 
Back
Top Bottom