LATRA kwanini hakuna Ruti ya Kawe - Posta?

LATRA kwanini hakuna Ruti ya Kawe - Posta?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Irudisheni / iwekeni upesi kwani zamani wakati wa Mzee wetu Mwaibula ilikuwepo na kwa Taarifa yenu sasa hiyo Ruti in Watu wengi na itawalipa wenye DalaDala.


Nami niwajibu kuwa mbona hata Njia (Ruti) ya Kariakoo (Gerezani) DalaDala za Kawe - Gerezani (Kariakoo) zipo pamoja na kwamba hata Mabasi ya Mwendokasi yako?

Tunataka Ruti ya Kawe - Posta sawa?
 
Watu wa Tegeta na Mbagala kwenye Washamba wengi huko Posta na Kivukoni kwa Ruti za Mabasi yao huwa wanafuata nini?
M/Rangi3-Kivukoni kuchukua SAMAKI wabichi... Sasa Kawe kote itakapopitq ushuwani watu Wana private cars
 
Iyo ruti abiria wachache
Una uhakika? Kwa taarifa 75% ya Abiria wanaopanda DalaDala za Kawe kwenda Ruti zingine kila Asubuhi huwa wanashukia Manyanya kisha wanaunganisha DalaDala za Stesheni au za Kivukoni na Kushukia Posta.
 
Kawe Posta Ni sawa na masaki Posta. Ni ruti ambayo hazina abiria rasmi kutokana na maeneo yake kuzungukwa na watu wa kipato Cha juu. Wengi wana magari yao.

Asilimia 95 ya njia ya kawe inamezwa na mikocheni. Hawa wanaotoka kawe kwenda Posta wanaenda Kazini kurudi jioni. Je hapa mchana abiria watatoka wapi?? Gari zinakosa abiria ndiyo chanzo Cha njia kufa. Wakazi wengi wa huko hawapo sekta rasmi.
 
Back
Top Bottom