MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Watu wa Tegeta na Mbagala kwenye Washamba wengi huko Posta na Kivukoni kwa Ruti za Mabasi yao huwa wanafuata nini?Watu wa Kawe huko Posta wakafanye nn?
M/Rangi3-Kivukoni kuchukua SAMAKI wabichi... Sasa Kawe kote itakapopitq ushuwani watu Wana private carsWatu wa Tegeta na Mbagala kwenye Washamba wengi huko Posta na Kivukoni kwa Ruti za Mabasi yao huwa wanafuata nini?
Una uhakika? Kwa taarifa 75% ya Abiria wanaopanda DalaDala za Kawe kwenda Ruti zingine kila Asubuhi huwa wanashukia Manyanya kisha wanaunganisha DalaDala za Stesheni au za Kivukoni na Kushukia Posta.Iyo ruti abiria wachache