huku DAR inabidi ugeuze na gari ndo usafiri kwa amani -Yaani Jiji la Mbeya Kila kitu kinaenda hovyo hovyo tu.
Hivi LATRA Mbeya mmeshindwa kabisa kutatua hii kero ya Daladala kukatisha route?
Yaani Daladala inatoka Uyole inaishia Kabwe, Abiria wanapata shida huku wengine wakipoteza mizigo Yako.
Mbaya zaidi Askari wa usalama Barabarani wanajua shida hii na wanashuhudia Abiria wanavyopata shida lakini wanaangalia tu
Abiria analazimika kulipa zaidi ya shilingi 1500 badala ya 800 ambayo ndiyo nauli sahihi ya kutoka mwanzo wa safari Hadi mwisho
Inasikitisha sana ni kama serikali kwa ujumla haipo Mbeya! Route zinavyoandikwa kwenye magari ni tofauti na uhalisia. Gari zimeandikwa Inyala stendi kuu, lakini zinaishia uyole!Yaani Jiji la Mbeya Kila kitu kinaenda hovyo hovyo tu.
Hivi LATRA Mbeya mmeshindwa kabisa kutatua hii kero ya Daladala kukatisha route?
Yaani Daladala inatoka Uyole inaishia Kabwe, Abiria wanapata shida huku wengine wakipoteza mizigo Yako.
Mbaya zaidi Askari wa usalama Barabarani wanajua shida hii na wanashuhudia Abiria wanavyopata shida lakini wanaangalia tu.
Abiria analazimika kulipa zaidi ya shilingi 1500 badala ya 800 ambayo ndiyo nauli sahihi ya kutoka mwanzo wa safari Hadi mwisho.
View attachment 3414859View attachment 3414861
Ni hatari sana kakaJini la Mbeya ni moja ya jiji lenye kero nyingi ndogo ndogo kuanzia za kitumishi hadi za kawaida sijui kuna matatizo gani, mfano kuna maeneo maji hayatoki karibu mwezi sasa lakini wahusika wapo na wakipogiwa simu hawaendi kusolve tatizo.