Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Juzi nilielekea Wilaya ya Peramiho kwa majukumu yangu, sasa wakati narudi kuna geti pale la ukaguzi wa mazao wakavuta kamba akaja kijana na kuuliza kuhusu stika ya LATRA kwenye pikipiki.
Nikamwambia hakuna, akasema inatakiwa kuwa na stika kwenye pikipiki na mwisho wa kulipa ilikuwa Mei 30, 2023.
Sasa pikipiki ikikamatwa na kupelekwa halmashauri faini 100000 na stika 7000.
Swalo langu: Je, LATRA mumeweka mawakala wilayani? kwanini hawana vitambulisho? tunaomba kueleweshwa hapa. Mbona maeneo mengine hakuna mambo yale?