mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Kuna jambo tunalifanya tunaona kabisa hapa tutatesa wananchi , sasa Latra mnashindwa akabisa kuafikiana na hawa akina Uber na Bolts kisa tu sijui akina Paisha sijui Paa wamefanya fitna ili wakue?
Japo huduma zao bado mbovu mno na nyie TBS hivi viwango vya ubora mnachaji pesa kubwa sana kwa wajasiliami wadogo wanaotamani bidhaa zao ziingie kwenye masoko makubwa ya ushindani mnawanyima nafasi hiyo kwa fee zenu kubwa sana jamani. Mbona hizi taasisi zina wasomi wazuri tu mnashindwa kabisa kufikiria solution jamani?