Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Wakala wa usafiri wa Mchi kavu yaani The Land Transport Regulatory Authority (LATRA) ilianzishwa na sheria ya bunge t No. 3 of 2019. zamani tukiita SUMATRA.
Gilliard W. Ngewe ndiye mkurugenzi mkuu wa LATRA, na makao makuu yapo
LATRA Head Office,SUMATRA House,
Nkrumah Street , Box 3093,
Phone.:+ 255 22 219 7500/1,
Dar es Salaam, Tanzania.
Kumezuka Tabia ya Maafisa wa LATRA/SUMATRA kukaa ofisini na kuacha wamiliki mabasi kujipangia nauli watakavyo.
Magufuli hajui hili, ila nampenyezea tu, kwamba maafisa wa LATRA wanalala ofisini, hawa maafisa wanachomchonganisha MAGUFULI NA wananchi, tena kwa maksudi ili Magufuli aonekane m'baya.
Daladala za MBAGALA ZAKEM---MIKWAMBE zinapaki uwanja wa Zakem, nauli ya TLB ni 400 na mwanafunzi ni 200 ila wao wamejipandishia kuwa 500 kwa wote na mbaya zaidi njia hiyo ina kituo cha polisi wa barabarani pale njia panda NHC,VIKUNAI,NSSF house wanaita changanyikeni.
Ukilipa nauli na kudai Tiketi hupewi, tena konda anakwambia wanakusaidia tu, wanaweza paki gari, lugha za kashfa, ukisema unaenda polisi wanakwambia hao ndio wenye hizo daladala.
IGP naomba ubadili Polisi wa hicho kituo, Waziri naomba uondoe mkurugenzi wa LATRA , au kama ni Rais ndio kamteua amtoe kwa kutotimiza wqjibu wake na kum-sabotage kipindi hiki cha kampeni, just fikiria CHADEMA wakitumia hii kitu kwenye kampeni, udiwani tu, lazma ashinde maana watasema watahakikisha nauli inakuwa 400 na gari zimeandikwa 400, ila hawatoi ticket.
MBAGALA ---kilwa road----STESHENI
Haya magari nimengi sana, na watu ni wengi ila Mengi wakati wa asubuhi yanakodishwa kubeba wanafunzi na wakati wa jioni wanabeba wanafunzi jambo ambalo kunakuwa na upungufu mkubwa sana wa daldala.
Baada ya upungufu huo, Watu binafsi wanapaki pale stesheni na kubeba abiria, mmoja kwa 2000 wakati nauli ni 400 .
Gari hizo ndogo hazina leseni ya akufanya biashara ya usafirishaji, hazijakaguliwa na polisi na sumatra, hiku ni kumhujumu Magufuli na Sirro aonekane hatendi kazi na mbaya zaidi ni MBELE YA KITUO KIKUU CHA POLISI DAR.
POSTA--MR RD ----------SINZA--MAKUMBUSHO.
hawa watu wakifika Posta, wanaema gari inaenda kulala magomeni mapipa, wanachukua abiria wa mapipa tu, gari ikifika mapipa , wanasema wanaishia manzese darajani, wakifika manzese anasema wanaishia Afrika sana, na baadae wanaishi USTAWI WA JAMII, means abiria wa makumbusho kwenda sinza wanapata shida ya usafiri.Na pale Ustawi wa jamii hawa watu wamefanya imekuwa kama kituo rasmi cha daladala ilhali kile ni outbound tu , kushusha na kupakia lakini si kukaa foleni.
ACHENI KUMHUJUMU MAGUFULI, hili jambo RC MPYA atawashughulikia, na hapa si mambo ya uccm, hapana mnamhujumu raisi wa nchi
RAIS MAGUFULI, DG LATRA ndugu Gilleard, Kamishan Usalama Barabarani inaonekana wanakuhujumu, tafadhali fanya kazi yako, najua kutumbua ni dakika tu, wanyonge wanaona kama vile umewatupa.