LATRA/SUMATRA wanakaa ofisini na kuacha wamiliki mabasi kujipangia nauli watakavyo

jaji mfawidhi, Manzese-Mbezi wanatoza elfu moja badala ya 500, Makumbusho-Nyuki 500 badala ya 400
Acha kuongopa hapo kwa Makumbusho Tegeta, kama ni mgeni sema usaidiwe. Nauli ya Makumbusho Tegeta ni 500, nauli ya Makumbusho Kunduchi ni 450
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…