KERO LATRA wamulike mabasi ya mkoa wa Tanga

KERO LATRA wamulike mabasi ya mkoa wa Tanga

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wasafiri wanaoingia au kuelekea mikoani wamekuwa wakiibiwa pesa zao. Unatozwa nauli ya luxury ila unapandishwa ordinary bus je hili limekaaje LATRA au huu wizi umebarikiwa?
 
Back
Top Bottom