A Anonymous Guest May 22, 2024 #1 Wasafiri wanaoingia au kuelekea mikoani wamekuwa wakiibiwa pesa zao. Unatozwa nauli ya luxury ila unapandishwa ordinary bus je hili limekaaje LATRA au huu wizi umebarikiwa?
Wasafiri wanaoingia au kuelekea mikoani wamekuwa wakiibiwa pesa zao. Unatozwa nauli ya luxury ila unapandishwa ordinary bus je hili limekaaje LATRA au huu wizi umebarikiwa?