johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata mie nashangaa yani, harusi ndio haswa zilitakiwa zitozwe kodi. Ma MC wanapiga laki 7 mpaka million na nusu kila usiku. Kodi wanalipa wapi?Duh...
Si wangeweka kwenye harusi jamani...
Msiba?
Mwaka mzima!Hii tozo ni kwa kila safari au ukilipa Million 1 unakuwa umemaliza kwa mwaka mzima.
Tanzania hakuna Corona bwashee!Maccm ni mauaji na machawi yaliyopitiliza hapo yanataka yatumie vifo vya corona kama fursa
Tena wanaweza wasajili kwa annual fee na wakawapa efd machine kabisa....Hata mie nashangaa yani, harusi ndio haswa zilitakiwa zitozwe kodi. Ma MC wanapiga laki 7 mpaka million na nusu kila usiku. Kodi wanalipa wapi?
Yah harusi zina mapato makubwa sana ambayo serikali inayapoteza. Wakiwapiga laki 2 tu per event mara harusi zote kwa siku ni hela ndefu sana.Tena wanaweza wasajili kwa annual fee na wakawapa efd machine kabisa....
Ukiacha MCs kuna
Mapambo
Picha
Magari said ya manne...
Sasa kwanin wasitozwe wao watoze misiba...
Halafu utawasikia eti mbona wadau wameshirikishwa!!!yaani wao kuongeza TAX BASE, inakwenda sambamba na viwango vya kukomoa watu!!badala ya kuweka kodi rafiki kwa mlipaji!!unadhani kwanini wazungu wao kukwepa kodi mtu anaona ni aibu kubwa sana, ni kutokana na kodi kuwa rafiki, vile vile anaona matumizi yake!!huku tunatiana ujinga eti kuwa mzalendo kwa kulipa kodi , kodi zenyewe hizo?!!unaongeza wafanya biashara 20, kuna wengine 50, wanafunga biashara!!!shida kubwa imeanzia kwenye mambo ya GAWIO, wote wamepewa kiwango cha kupeleka!!hujasikia TBS, nao kuanzia march, magari yote mapya watakagua wao!!kama halikidhi viwango unakwenda kulitengeneza kwanza, ndio wanalikagua!!!chaka jingine hilo!!!Juzi nilikuwa kwenye kikoa na latra kuhusu hilo sakata ni kama latra hawako tayari kushirikiana na wadau wa usafirishaji
Au huenda kiburi chao wanakipata kutoka kwenye mamlaka makubwa
Nani inamuingia akilini coaster ilipe gharama kubwa za vibali kuliko bus kubwa
There is so much more hawa majamaa ni kama huwa hawaend field kabla ya kuamua maamuzi yao