Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Katika hali isiyo ya kawaida, mabasi/ daladala zenye TLB inayotolewa na LATRA Mbaga mpaka GEREZANI/ Kariakoo imekuwa shamba la bibi.
Kutoka kituo cha Kariakoo, Gerezani mpaka makao makuu ya LATRA ni kilometa 2 tu lakini Daladala zikifika kariakoo siti za kukaa ni shilingi 1000 na kusimama ni 500, na wana-create artificial scarcity ya daldala aili wapandishe nauli.
Hili jambo wanyonge wa mbagala ni kama wamesha kubaliana nalo, MKURUGENZI wa LATRA asilaumiwe, huenda kuna afisa wake anayesimamia haya mambo lakini hatoi ripoti, TRAFIKI WANAFAHAMU, labda hawana zana za kazi wasilaumiwe, wananchi wanafahamu, labda wakilalamika wanaambiwa watembee kwa miguu.
MAMA SAMIA ni mpole sana lakini mambo yake kimya kimya mno, angalia ametumbua meneja wa TPA, bandari, sasa nina wasiwasi huyu wa LATRA yasimfike, asitumbuliwe ila tunasema tu yasimfike.
Wakazi wa Kigamboni ikifika saa 10 jioni wakati wa peak hours nao gari za mwandege, Tuoangoma, Kisemvule zinapandisha nauli.
Gari za Mgagala Kigamboni ikifika jioni zinaishia Mji mwema kwenye mataa pale sheli, hazifiki Ferry na latra wapo tu, haya yote yanafanyka huku MAMA SAMIA Akinyimwa taarifa, mama kama mama ana mkuu wa wilaya Temeke JOKATE, ana mkuu wa Kigamboni, kuna LATRA NA TRAFFICK wa wilaya zote , labda hawajawezeshwa usafiri na fungu la kufuatilia haya, sisi tunawasaidia.
MWISHO KABISA: Wananchi wanauliza, daldala kila asubuhi husimamishwa na kundi la traffick sehemu mbalimbali, kondakta anapitiliza, anashuka anaenda nyuma ya gari, watu wanauliza, hizo gari huwa zinakaguliwa nyuma tu?