Laughter series: Embarassing moment....!

Laughter series: Embarassing moment....!

Kwetunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2007
Posts
1,535
Reaction score
412
Enjoy.......!
 
Attachments

  • Rhino.jpg
    Rhino.jpg
    41.6 KB · Views: 105
Last edited:
Heeeee.......!
Ama kweli vyumba vinaficha siri!
Safi sana Dogo, natamani kwenye hiyo group angekuwepo mama/baba-mkwe wa huyo mwanamke!
 
Hahahah bora wapo wanawake wenzie tupu loh ingekuwa balaa kama Mr angekuwepo na washkaji zake!
 
Hahahah bora wapo wanawake wenzie tupu loh ingekuwa balaa kama Mr angekuwepo na washkaji zake!

Embu cheki na hii pia.......imemkuta Mr. mwenyewe live!
 
Attachments

  • dont trust your wife too much.jpg
    dont trust your wife too much.jpg
    14.5 KB · Views: 62
Tehe tehe...!

Kwetunikwetu

Uliiacha kwanini ile Avatar yako ya mwanzo?

Ile ndo ilikuwa bomba bana, maana ilikuwa inaonyesha hasa`kwetu ni kwetu`
Weka ile nyumba ya ghorofa ya udongo na nyasi!
 
Kwetunikwetu

Uliiacha kwanini ile Avatar yako ya mwanzo?

Ile ndo ilikuwa bomba bana, maana ilikuwa inaonyesha hasa`kwetu ni kwetu`
Weka ile nyumba ya ghorofa ya udongo na nyasi!

Poa mkuu nimekupata.......!
 
Tehe tehe.......duh mama sijui afanye nini hapo tena?

Huyo mama inaonesha kuwa anamheshimu mumewe, kwa hiyo pamoja na kwamba hamridhishi kwenye majamboz ameamua kujitafutia solution ambayo haitamwaibisha mbele ya jamii...
 
Huyo mama inaonesha kuwa anamheshimu mumewe, kwa hiyo pamoja na kwamba hamridhishi kwenye majamboz ameamua kujitafutia solution ambayo haitamwaibisha mbele ya jamii...

Tehe tehe...........lakini inaonesha mama sio smart.....vifaa vya kazi havitunzi vizuri mpaka dogo kaviona. Pia hayuko makini sana ndo maana mzee nae kaibua akidhani ni kijiti cha kupokezana.....tehe tehe...!
 
Back
Top Bottom