Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 412
Mjomba,
Bora choo cha shimo, kuliko cha kukaa!
Mjomba bora ungetumbia tusitumie choo kile (kupinga ufisadi),
kuliko kutupatia kiti (uspika) tupande vizuri, kumbe unatutega (kutupeleka kwenye NEC)!
Aaah natania tu mjomba.....mi sio mlalamikaji, nikipata nauli nitakuja kukueleza yaliyonisibu..!