Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 412
Hiki kijamaa umekiokota wapi, kama nisha wahi kukiona sehemu!, kinapenda kukojoa kojoa, kilisha wahi kuchomwa na miba ya mitutukenge hiki. lol!Mjomba,
Bora choo cha shimo, kuliko cha kukaa!
Mjomba bora ungetumbia tusitumie choo kile (kupinga ufisadi),
kuliko kutupatia kiti (uspika) tupande vizuri, kumbe unatutega (kutupeleka kwenye NEC)!
Aaah natania tu mjomba.....mi sio mlalamikaji, nikipata nauli nitakuja kukueleza yaliyonisibu..!
Hiki kijamaa umekiokota wapi, kama nisha wahi kukiona sehemu!, kinapenda kukojoa kojoa, kilisha wahi kuchomwa na miba ya mitutukenge hiki. lol!
Hiki kijamaa umekiokota wapi, kama nisha wahi kukiona sehemu!, kinapenda kukojoa kojoa, kilisha wahi kuchomwa na miba ya mitutukenge hiki. lol!