Lauryn Hill na Ujumbe wa Tanzania

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Nilikuwa nasoma habari za burudani katika website ya CNN nikakutnana na picha ya Lauryn Hill kama inavyoonekana hapa chini. Kilichonikuna zaidi ni hiyo background banner inayoonyesha Tanzania Education Trust Gala. Kufuatilia zaidi ndipo nimefahamu kuwa kumbe dada huyu alihudhuria ile hafla iliyoandaliwa na JK hapo New York. Kinachofurahisha ni kuwa siku hizi picha hii ndiyo inayotumika zaidi kwenye habari zinazomhusu Lauryn kuliko zile alizopiga angali na Fugees; of course anaonekana kapendeza zaidi katika picha hii kuliko zile. Kwa hiyo kila habari inayoandikwa kumhusu Lauryn imekuwa pia inabeba ujumbe wa Tanzania Education Trust ... Jambo zuri sana la kutangaza nchi. Nadhani labda ana mshikaji wa kibongo ambaye ndiye alimleta pale kwenye gala ile, na hivyo kusambaza ujumbe indirectly.



 
Kwa hiyo unamaanisha safari za Vasco da Gama zinalipa?
 
Hapana, kuna njia rahisi za kutangaza nchi kama hii ambapo celebrity wa kimataifa anapewa nafasi ya kuitangaza Tanzania bila hata yeye mwenyewe kujua. Sidhani kama Lauryn alikuja pale kwa sababu eti JK alikuwapo, no alikuja kwa sababu nyingine tu. Hata kama JK hangekuwapo, bado huyu dada angetinga tu.
 
Mkuu give credit where it is due, yaani Vasco kakuboa hivyo mpaka hutaki kumu-acknowledge kuhusu hili?
 
JK analofanya ni kua nzi kwa kutumia bomu la nyuklia. Unapomwona JK hapo New York, ujue ana utitili wa watu wanaondamana naye ambao hutumia fedha nyingi sana za umma. Lakini ukweli ni kuwa shughulianayofanya kwa gharama kubwa hivyo ingeweza kufanyika kwa njia tofauti na kwa gharama nafuu. Nadhani ulishasoma article hii hapa chini:

 
the end (laurynn hill) justify the means (vasco da gama)
 
kichunguu .....picha hiyo ya laurin hill inatumika kwa sababu ndio mtoko wa kwanza public kuhudhuria baada ya kutoweka kwenye uso wa media kwa muda mrefu sana kutokana na kudumbukia kwenye madawa ( na sio kwa sababu hapo anaonekana cuter...........actually picha hiyo ilitoka kwenye gossip sites zote za marekani wakimkandia kuanzia nyusi zilizokuwa hazijatengenezwa to the outfit)

alihudhuria kama laurin hill (mualiko aliupata kutoka kwa douge pitt kwa mujibu wa hizo gossip sites)

no publicity is bad publicity kwa hiyo sio mbaya kuwa neno Tanzania limetokeza hapo nyuma na watu waweza kujiuliza Tanzania ni wapi
 
She used to be a cute little thing, hivi kameacha kujidunda madawa?

Ooh yeah...she used to be a hot tamale back in the day. I loved everything about her including her itty bitty titties...but then she started sniffing some of that crank and she went downhill from there. Now she looks more like a clown....
 
tabloid contribution to an earnest subject
lete wewe basi mchango wako wa ki-'principia mathematica', hujalazimishwa kusoma tabloidic contribution au vp Mr. Dilunga?
 
lete wewe basi mchango wako wa ki-'principia mathematica',
diversion has a role always, I just pointed out what it is, the kind of scuttlebutt you overhear when you peek into a pedicure store to tell her you waiting outside. U just saw the subject from that angle, thats all
 
diversion has a role always, I just pointed out what it is, the kind of scuttlebutt you overhear when you peek into a pedicure store to tell her you waiting outside. U just saw the subject from that angle, thats all
'Pointing out' without giving ur own view(which supposedly rmust be egarded to be 'superior' or of higher level) = bitchin'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…