Lavalava katoka Wasafi? Account yake inatumika kutangaza matangazo

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Ni muda sasa naona Lavalava hajulikani yupo wapi post zake za mda mrefu alionekana na mpenzi wake namzungu wake sasa naona post hizo nazo zimefutwa account yake inatumika kutangaza matangazo ya wasafi bet kampuni ya wasafi ni kubwa ni vyema wakatujulisha kinachoendelea
 
Ila lava ana mashairi huyoo,
Nyinyi watu wenye husuda kila kukicha kumsimaanga, kwamba kalogwa,
Mpaka kijana wa watu akaenda kwa watalamu kubonywa bonywa,
Cha ajabu hajawahi wafanyia chochote kibaya, Ata mziki wake mnasikiliza Bure bila Vat wala Tozo,
Laiti Kama angewa charge, angewa Uwa Uwa.
 
Wabongo kwa kufatilia maisha ya watu hamjambo
 
Unamtetea tu , kiufupi mziki ulimkataa. Na wala sio chuki. Uzuri nayeye amejigundua hivyo
.
 
Wabongo kwa kufatilia maisha ya watu hamjambo
Wasafi ni kampuni kubwa iliyofanya uwekezaji mkubwa inayolipa kodi kubwa serikalini sababu uelewa wako ni mdogo ndio mana unahisi tunafuatilia maisha binafsi iko hv wasafi ni kampuni kama zingine tatizo likitokea ni jambo la muhimu watu kujulishwa nini kinaendelea
 
Back
Top Bottom