Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Wabongo kwa kufatilia maisha ya watu hamjamboNi muda sasa naona Lavalava hajulikani yupo wapi post zake za mda mrefu alionekana na mpenzi wake namzungu wake sasa naona post hizo nazo zimefutwa account yake inatumika kutangaza matangazo ya wasafi bet kampuni ya wasafi ni kubwa ni vyema wakatujulisha kinachoendelea
nai kubali sana hii songMimi niachojua tu ni kwamba lile goma lake la Ng’ari ng’ari ni moto wa kuotea mbali.
Nakupa za ndani huyo kijana ni D Voicembona ashatoka mda Sana pale usafini nafasi yake inazibwa hivi karibuni na kijana wa Moto Sana
Unamtetea tu , kiufupi mziki ulimkataa. Na wala sio chuki. Uzuri nayeye amejigundua hivyoIla lava ana mashairi huyoo,
Nyinyi watu wenye husuda kila kukicha kumsimaanga, kwamba kalogwa,
Mpaka kijana wa watu akaenda kwa watalamu kubonywa bonywa,
Cha ajabu hajawahi wafanyia chochote kibaya, Ata mziki wake mnasikiliza Bure bila Vat wala Tozo,
Laiti Kama angewa charge, angewa Uwa Uwa.
Umemkataa kivipi na wakati hatoi nyimbo mbovu?Unamtetea tu , kiufupi mziki ulimkataa. Na wala sio chuki. Uzuri nayeye amejigundua hivyo
.
KabisaFaida yake haikuonekana pale
Wasafi ni kampuni kubwa iliyofanya uwekezaji mkubwa inayolipa kodi kubwa serikalini sababu uelewa wako ni mdogo ndio mana unahisi tunafuatilia maisha binafsi iko hv wasafi ni kampuni kama zingine tatizo likitokea ni jambo la muhimu watu kujulishwa nini kinaendeleaWabongo kwa kufatilia maisha ya watu hamjambo