Lavalava katoka Wasafi? Account yake inatumika kutangaza matangazo

Kwani Makabila si alisema uchawi umeshaingia usafini Lavalava hata aimbie vipi hajulikani.
 
Nilihisi kati ya wote walio pale WCB atakae shine ni Lava lava kwa kuwa alikua anatoa hit songs, duuh kilichokuja kutokea ni tofauti kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…