Lavalava: Leo ni birthday yangu naitumia kumuombea hayati Magufuli

Lavalava: Leo ni birthday yangu naitumia kumuombea hayati Magufuli

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
24,606
Reaction score
39,289
Kupitia Instagram yake msanii huyo wa WCB ameandika kuwa :-


“Happy birthday To Me. Ahsante Mungu leo ni siku yangu ya kuzaliwa, nakushuru maana Kufika siku ya leo si kwa mabavu yangu bali ni kwa uwezo wako. Niseme tu nitaitumia siku yangu ya leo kumuombea aliyekuwa Rais wetu hayati Dr. JOHN POMBE MAGUFULI #Maombolezo Mungu Amlaze Mahala Pema Peponi #sitasherehekea. Ahsante nawashukuru wote Mlioniwish na kunitakia kheri🙏🏼🙏🏼🙏🏼”

 
Back
Top Bottom