Realboynicky
Senior Member
- Mar 31, 2023
- 156
- 296
Japo kuna maneno kwa mwamba mziki umemshinda ukweli ni kwamba lavalava hapewi push kama artist wengine WCB. Kina harmonize,Rayvanny,zuchu,mboso hawa wote wamepewa sana push wametoa nyimbo nyingi lakini pia wamefanya collabo na wasanii wakubwa wa nje. Linapokuja kwa lavalava ni kama anabaniwa kwanza hatoi ngoma nyingi pili hapewi collabo na wasanii wakubwa kimataifa, ndie msanii pekee WCB amabaye bado hajatoa EP. I think kama WCB hawataki kumsupport bora wamruhusu dogo asepe kuna mamanager wengi wanaweza kumchukua na kumsupport akafika anapotaka.
Ngoma za lovebite
Niuwe
Go gaga
Inatosha
Ngaringari
Basi tu
Habibi
Komesha
Nitake nini
Dede
Najidai
Hatuachani
Etc
Ngoma za lovebite
Niuwe
Go gaga
Inatosha
Ngaringari
Basi tu
Habibi
Komesha
Nitake nini
Dede
Najidai
Hatuachani
Etc