jamani; siku zote tunazungumzia sheria sheria sheria! huyu Nguza Vickings, alias Babu Seya kweli kinachomweka jela no Sheria au ni kinginecho???
namkumbuka lecturer wangu wa sheria aliwahi kuniambia kuwa, kuna ukweli kwa mujibu wa sheria na kuna ukweli nje ya sheria. mahakama zote hazijishughulishi na ukweli uliopo kwenye jamii kwa kuwa huo ni ukweli nje ya wigo wa sheria. ukweli kwa mujibu wa sheria unaweza kuthibitishwa au kukanushwa mahakaman, lkn ule ukweli unaozagaa kwenye jamii siyo mara zote unaweza kuuthibitisha au kuukanusha mahakaman.
kama kuna ukweli kwa mujibu wa sheria na mahakama haikuuzingatia huo ukwel, huyo mtu ana nafasi kubwa ya kutoka kwenye rufaa, na kinyume chake.
hivyo basi ukifuatilia mtiririko wa kes ya babu seya na wanae tokea jalada la kisutu mpaka mahakama ya rufaa, utaona unaopatikana mule ni ukweli kwa mujibu wa sheria na ndiyo unaohitajika mahakani, huo mwingine haujathibitika wala kukanushwa mbele ya mahakama.
asante sana mkuu kwa mchango wako kwenye hilinamkumbuka lecturer wangu wa sheria aliwahi kuniambia kuwa, kuna ukweli kwa mujibu wa sheria na kuna ukweli nje ya sheria. mahakama zote hazijishughulishi na ukweli uliopo kwenye jamii kwa kuwa huo ni ukweli nje ya wigo wa sheria. ukweli kwa mujibu wa sheria unaweza kuthibitishwa au kukanushwa mahakaman, lkn ule ukweli unaozagaa kwenye jamii siyo mara zote unaweza kuuthibitisha au kuukanusha mahakaman.