Mhafidhina JF-Expert Member Joined Feb 6, 2008 Posts 549 Reaction score 23 Dec 13, 2009 #1 Ndugu wasomi (learned Brothers), Naulizia kama kuna mtu anajua/anafahamu kama kuna software kwa ajili ya Lawfirms? Je ni software gani? Inapatikana wapi na kwa bei gani? Please help...!
Ndugu wasomi (learned Brothers), Naulizia kama kuna mtu anajua/anafahamu kama kuna software kwa ajili ya Lawfirms? Je ni software gani? Inapatikana wapi na kwa bei gani? Please help...!
kalikumtima Member Joined Aug 13, 2009 Posts 45 Reaction score 0 Dec 13, 2009 #2 Mhafidhina said: Ndugu wasomi (learned Brothers), Naulizia kama kuna mtu anajua/anafahamu kama kuna software kwa ajili ya Lawfirms? Je ni software gani? Inapatikana wapi na kwa bei gani? Please help...! Click to expand... Ni vema kama ungeainisha unataka kufanyia nini hiyo software. I mean investigation, case reporting etc.
Mhafidhina said: Ndugu wasomi (learned Brothers), Naulizia kama kuna mtu anajua/anafahamu kama kuna software kwa ajili ya Lawfirms? Je ni software gani? Inapatikana wapi na kwa bei gani? Please help...! Click to expand... Ni vema kama ungeainisha unataka kufanyia nini hiyo software. I mean investigation, case reporting etc.