naomba kwa aliye na uwezo,atuwekee Law firms za hapa nyumbani,kwa websites zao, tujaribu bahati huko hata kwa kufanya kazi kwa kujitolea ili tupate uzoefu kuliko ilivyo sasa kukaa kitaa tu bure.
samahan hii haikuwa thread yangu but nimekuwa interested, me pia natafuta place ya kujitolea post yeyote computer najua ms word na excel nimemaliza LLB mwaka huu
Ndugu yangu natafuta sehemu ya kujukeep busy,hata ukarani nitafanya,mradi nisikae kitaa siku nzima.Nnajua computer kwa working level,Word,Excel.Nategemea kupata experience flani kutokana na kufanya kazi za kujitolea.