Law report of tanzania (lrt)- msaada please

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Wapendwa,
Naomba kujua ninaweza kupata wapi electronic version ya Law Report of Tanzania (LRT). Is it synonymous with Tanzania Law Report (TLR)-
 
sidhani
LRT ilikuwa ni zile za mwanzo kabisa yaani kuanzia 1973 hadi 1983 nafikiri na ndo zikaja TLR ambazo ni za kuanzia 1983 mpaka sasa hivi
Mwanzoni kabisa kulikuwa na HCD yaani High Court Digest mpaka zilipokuja hizo LRT
NiPM then tutaongea zaidi kuhusu shida yako
 
sidhani
LRT ilikuw ani zile za mwanzo kabisa yaani kuanzia 1973 hadi 1983 nafikiri na ndo zikaja TLR ambazo ni za kuanzia 1983 mka sasa hivi
Mwanzoni kabisa kulikuwa na HCD yaani High Court Digest mpaka zilipokuja hizo LRT
NiPM then tutaongea zaidi kuhusu shida yako

Alaaaa kumbe ni wewe arif! Niaje JF Moderator 1...?
 
sidhani
LRT ilikuwa ni zile za mwanzo kabisa yaani kuanzia 1973 hadi 1983 nafikiri na ndo zikaja TLR ambazo ni za kuanzia 1983 mpaka sasa hivi
Mwanzoni kabisa kulikuwa na HCD yaani High Court Digest mpaka zilipokuja hizo LRT
NiPM then tutaongea zaidi kuhusu shida yako

JF Moderator1, nimerudi tena na shida yangu. Naomba kama utaweza kunisaidia kupata electronic version, even if by payment. Please and please
 
mi ninazo, sasa sijui nitakupataje, halafu sitaki unifahamu...ila ninazo software mbili, ile ya Tanzania law reports na ya Laws of Tanzania RE.2002. hata hivyo, hivi vitu nilivyonavyo nimevicopy, pamoja na kwamba katika nyanja ya copyright sitakamatika kwasababu nimereproduce kwaajili ya matumizi ya kawaida sio biashara, siwezi jua kama wewe unayetaka ndiye mmoja wapo wa wamiliki wa software hii au la....nishauri tufanyeje?
 
mi mwnywe nna shida nzo.we uliyenazo naomba unifanyie mpngo
 
mi mwnywe nna shida nzo.we uliyenazo naomba unifanyie mpngo nzipate ka vp ntumie kwenye e mail yngu. ni inbox kma uko tiyar.
 
mi ninazo, sasa sijui nitakupataje, halafu sitaki unifahamu...ila ninazo software mbili, ile ya Tanzania law reports na ya Laws of Tanzania RE.2002. hata hivyo, hivi vitu nilivyonavyo nimevicopy, pamoja na kwamba katika nyanja ya copyright sitakamatika kwasababu nimereproduce kwaajili ya matumizi ya kawaida sio biashara, siwezi jua kama wewe unayetaka ndiye mmoja wapo wa wamiliki wa software hii au la....nishauri tufanyeje?

umejihami vyema.
 
Back
Top Bottom