CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
sidhani
LRT ilikuw ani zile za mwanzo kabisa yaani kuanzia 1973 hadi 1983 nafikiri na ndo zikaja TLR ambazo ni za kuanzia 1983 mka sasa hivi
Mwanzoni kabisa kulikuwa na HCD yaani High Court Digest mpaka zilipokuja hizo LRT
NiPM then tutaongea zaidi kuhusu shida yako
Alaaaa kumbe ni wewe arif! Niaje JF Moderator 1...?
sidhani
LRT ilikuwa ni zile za mwanzo kabisa yaani kuanzia 1973 hadi 1983 nafikiri na ndo zikaja TLR ambazo ni za kuanzia 1983 mpaka sasa hivi
Mwanzoni kabisa kulikuwa na HCD yaani High Court Digest mpaka zilipokuja hizo LRT
NiPM then tutaongea zaidi kuhusu shida yako
mi ninazo, sasa sijui nitakupataje, halafu sitaki unifahamu...ila ninazo software mbili, ile ya Tanzania law reports na ya Laws of Tanzania RE.2002. hata hivyo, hivi vitu nilivyonavyo nimevicopy, pamoja na kwamba katika nyanja ya copyright sitakamatika kwasababu nimereproduce kwaajili ya matumizi ya kawaida sio biashara, siwezi jua kama wewe unayetaka ndiye mmoja wapo wa wamiliki wa software hii au la....nishauri tufanyeje?