Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia kwa website yao utakuta kila kitu na application form una down load.Masharti Ni kuwa umesoma kozi zilizoainishwa pale na uwe na vyeti.Samahani wakuu, nilikua nauliza utaratibu wa mwanafunzi kujiunga na law school of Tanzania akitokea Kenya. Ni vitu gani vya muhimu anahitajika kuwa navyo.
Natanguliza shukrani.