Law school of Tanzania kwa mwanafunzi anayetokea nje ya nchi

Travis 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
878
Reaction score
1,373
Samahani wakuu, nilikua nauliza utaratibu wa mwanafunzi kujiunga na law school of Tanzania akitokea Kenya. Ni vitu gani vya muhimu anahitajika kuwa navyo.

Natanguliza shukrani.
 
Samahani wakuu, nilikua nauliza utaratibu wa mwanafunzi kujiunga na law school of Tanzania akitokea Kenya. Ni vitu gani vya muhimu anahitajika kuwa navyo.

Natanguliza shukrani.
Ingia kwa website yao utakuta kila kitu na application form una down load.Masharti Ni kuwa umesoma kozi zilizoainishwa pale na uwe na vyeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…