Why unasikia? Hawana website? Ngoja your learned fellows waje wakunasihi. Hongera kwa kumaliza chuo.
jamani,memaliza LL.B apo UDSM 2012..nataka nijue ka ntakua eligble kujiunga na Law School mwaka huu,yaani after 12th &13 cohort -july intake...! Cuz naskia hawa majamaa hawataki PROVISIONAL RESULTS,so i need to wait mpaka mwakani! Dah,nataka niunge fasta...!
Mbona mapema? Hata Dissertation yako hatujaanza kuisahihisha achilia mbali mitihani yako ya Semista ya pili.Una uhakika utafaulu? Anyway,waweza kujiunga mwaka huu huu.Kohoti ya 12 na 13 zitajiunga mwezi wa 8. Ya 14 na kuendelea zaweza kujiunga kati ya Desemba mwaka huu au Januari mwakani.Au kutokana na Majengo mapya ya Law School kuanza kutumika,yawezekana wakachukuliwa wengi kwa pamoja.Endelea kufuatilia na unifuatilie pia.Prof. Hamudi Ismail Majamba ameniomba nikusalimie...