law school

Jbh

New Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Naomeni msaada,kwenye masomo mtu ambayo anatakiwa awe ameyasoma moja wapo ni criminal law and procedure au criminal law or procedure?kwa sababu mimi criminal law ilikuwa option so nikachagua somo lingine lakini crpc niliisoma,sasa wanaweza wakanikataa kwa hilo?
 
Nenda kwenye website yao utapata jibu. kuna sehemu wametoa option kwa basic subjects ambazo mtu hakusoma afenyeje. Ukishindwa wapigie simu watakufahamisha.
 


Wanasheria watatusaidia, lakini mimi pamoja na kuwa mbumbumbu katika tasnia ya sheria sidhani kama wewe una LLB.
 

Website ya law school na pia form za kujiunga na law school zina masomo ambayo lazima uyasome mojawapo ni Criminal Law and Procedure. Criminal law ni somo la lazima kwa LL.B in Tanzania and many other countries. Kulingana na Council of Legal Education ili umalize LL.B Tanzania lazima uwe umesoma Criminal law, sasa mimi nashangaa ni chuo gani hicho Criminal Law ilikuwa option?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…