pamoja na hayo unadhani ni makubaliano rahisi kuyafikia? kuna mfano mwingine hai ningekutolea lakini nahisi utanila nyama,ngoja nijinyamazie tu.
Wote ndio mashetani wenyewe adhabu yao kufungwa jiwe la kusagia shingon na kutupwa baharin, kama atakuwa amebakwa basi mbakaji adhabu yake ni kuchemshwa kwenye pipa la mafuta mpaka aishie huko.
Makosa yatakuwa ya mwenza wa aliyemega au kumegwa.............kama humpi kitu ambayo akikaa ofisini anacheka mwenyewe unategemea nini???!!!
haijalishi kala/kaliwa na nani..........issue inabaki pale pale.......kaliwa/kala!!
mmmh! jamani wasamehewe tu binadamu hakuna mkamilifu!Cantalisia mbona unatoa hukumu kubwa kiasi hcho??!!!
Tulizo kusema ukweli nafikiri sasa kuna mengine hata shetani mwenyewe anatuonea aibu. Ah tumekuwaje sijui? Hivi pamoja na kusema kuwa ni kwa kuwa siku hizi press imekuwa na kupanuka lakini ninajikuta ninataka kuamini kuwa zamani hakukuwa na makitu ya namna hii. Siku hizi kila kitu tunaona ni sawa na halali!!!MJ1 ..umemsahau mtu wa tatu. ambaye yupo kati yao..anaitwa Sheeeetani!
Ukiwa rafiki na huyu jamaa anakubadili akili na kuwa punguani au Juha hadi unaweza kutembea na mtoto wako au mama yako mzazi..
Kudadadeeeeeki duh!! Wewe unaweza kumkaanga mtu na maji ya moto kwa hisia tu.Wote ndio mashetani wenyewe adhabu yao kufungwa jiwe la kusagia shingon na kutupwa baharin, kama atakuwa amebakwa basi mbakaji adhabu yake ni kuchemshwa kwenye pipa la mafuta mpaka aishie huko.
Mkuu Big avatar na comment zako zimerandana sana lolMakosa yatakuwa ya mwenza wa aliyemega au kumegwa.............kama humpi kitu ambayo akikaa ofisini anacheka mwenyewe unategemea nini???!!!
haijalishi kala/kaliwa na nani..........issue inabaki pale pale.......kaliwa/kala!!
Mkuu Big avatar na comment zako zimerandana sana lol
aisee...kazi ipo haswa! pwehhh
kusema wote wanamakosa inategemea na situation yenyewe, maana kuna sometimes mtu unafanyiwa visa mpaka unashindwa kupata suluhu, maana kusema kwa shemeji yako inakua ngumu ukiogopa kuvunja ndoa ya kaka au dada yako. ndo maana sa ingine mtu unasema "kubali yaishe"
Hata mahakamani kuna sheria ya "kuua bila kukusudia" kwa hiyo lazima tuangalie situation ilikuwaje mpaka ikapelekea hayo!
hapo labda iwe amebakwa otherwise wote wana makosa makubwa sana! alikutongoza ungeniambia/nijulisha...visa kama vipi hapo vya kufanya utembee na shem wako?...ukiona watu wana mahusiano kama haya ujue wameamua kufanya, hakuna cha shetani wala ibilisi...cjui kama ntaweza wasamehe wote wawili.
Kama mke au mume wa mtu ametembea na shemeji yake (binamu/mdogo/rafiki) wa mumewe au mkewe, kosa ni la MKE/MUME - hakuna cha shetani wala ati ''inategemea na situation yenyewe''. Full stop
Bishanga wangu...usinichukulie hivyo jamani, nakupenda ujue, uctishike na sera zangu bwana! haya niambie bac.....hapo red Bishanga, mama alijipanga na akaamua hayo maamuzi, hujiulizi kwann hakumpa hiyo chance shoga/rafiki mpaka akampa mdogo wake? alijipanga akayaamua hayo, hapo kwangu nin sawa kabisa, coz ni wameamua iwe hivyo!
Nakuelewa Mama Mchungaji na ni kweli kabisa kuwa Mtawala wa dunia hii ameshika kasi kiasi kwamba watu hawana tena hofu ya MUNGU. Sasa hawa wanaofanya hivi wewe kama wewe unamlaumu nani? maana katu siwezisema namlaumu shetani kwani nakumbuka kule Eden tulishaonjeshwa ile ladha ya mti wa Mema na Mabaya!! So mtu mzima anaelewa kabisa kuwa hili ni baya na bado analikimbilia!huu ni ukosefu wa maadili,kukosa hofu ya mungu na kumtumikia shetani MJ1
kwa akili za kibinadamu akitawaliwa na shetani inawezekana ..lakini kama una hofu na mungu it is imposible
Wapendwa hamjambo?
Ninaomba mnisaidie kufikiri maana sasa naiona dunia ya mapenzi kama uwanja wa fujo tu ambao natamani kama ningeweza kujiepusha nao niuepuke.
Nimesoma na kusikia visa vingi sana vya mapenzi ila ambacho ninashindwa kukielewa lawama nimtupie nani ni hiki cha mtu na shemeji yake!! Yaani iwe
1. mke kutembea na shemeji yake i.e. kaka/mdogo/binamu wa mume wake
2. Mume kutembea na shemejiye i.e. dada/mdogo/binamu wa mkewe.
(Nimewaexclude marafiki kwa kuwa nahisi wao hawaangukii kwenye huu mshangao wangu).
Je kosa ni la nani kati ya hawa?
Sweetheart .......sometimes mawazo yanaranda tu hewani na hivyo kupick any particle iliyopo angani. Nothing substantial mydia. Just wondering!Aisee, sometimes sijui MJ1 anafikiria nini kabisaaaaaaaaaa