Lawama nimpe Nani?

...case closed....ashadii unakubaliana nami sasa niwaombe mods waifunge topik hii?...
mstaafu DC upo wapi kaka?

Sorry Mkuu, nilipigwa ban na bibi DC, kwamba nisiguse JF na MMU kwa masaa 12!! Naamini massa yake yametimia. Ngoja sasa nimsalimie MJ1!!

Sasa wewe MJ1, unasema ni common maadili halafu hapo hapo unasema kuna exceptions.....Naomba basi na sie wenzio tulioko kwenye hao minority tutendewe haki!!!
 
hahahahahahaa... nice one mstaafu...mimi nimepigwa ban nisichangie tena sredi hii...
nitaendelea kubakia msomaji tu!
 
...case closed....ashadii unakubaliana nami sasa niwaombe mods waifunge topik hii?...
mstaafu DC upo wapi kaka?

hahahahahahaa... nice one mstaafu...mimi nimepigwa ban nisichangie tena sredi hii...
nitaendelea kubakia msomaji tu!

Pole sana bro,

Ngoja tuendelee kumwomba Mj1 aache kutuchanganya na wengine hata kama tu wachache,

My rights are mine irrespective of others' views!!

Kwa kweli hii thread haijanitendea haki!!
 
Reactions: Mbu

Haki gani Mzee DC? hebu nifafanulie basi? Kama wewe unaangukia kwenye exceptions ni wazi kuwa hutokuwa na lawama kwani watu wako (wanaofall kwenye hizo exceptions).
 
hahahahahahaa... nice one mstaafu...mimi nimepigwa ban nisichangie tena sredi hii...
nitaendelea kubakia msomaji tu!

Mbu utetezi wako kwa DC kunanifanya nifikirie mara mbili. Are you among the minorities?

Mzee DC nimekuelewa concern yako but inanipa pia swali lingine wewe mminority unapoendaoa kwa majority, unategemea akuelewe unapoipractise hii haki?!
 
Haki gani Mzee DC? hebu nifafanulie basi? Kama wewe unaangukia kwenye exceptions ni wazi kuwa hutokuwa na lawama kwani watu wako (wanaofall kwenye hizo exceptions).

Bado umenikwaza kweli MJ1,

Kama kule kwetu nimemkuta mambo haya unayoongelea hakuna, mimi nina hatia gani endapo nijilia vilivyo halali??? Yaani babu, bibi, bab, mama na ndugu wote wanajua kuwa hakuna seria inayovunjwa na tendo kama hilo. Pia hata chiefu wa ukoo wote ametupa baraka ili tusaidiane katika shida hizo. Sasa kwa nini unijumuishe kwenye huu uzi wenu wa majority???
 
Mbu utetezi wako kwa DC kunanifanya nifikirie mara mbili. Are you among the minorities?

Mzee DC nimekuelewa concern yako but inanipa pia swali lingine wewe mminority unapoendaoa kwa majority, unategemea akuelewe unapoipractise hii haki?!

MJ1,

Hivi kwenye basic rights, bado majority wanawaburuza minority??

Nilidhani ulitaka kusema kuwa mpenzi wa kiti moto akikutana na yule ambaye hiyo kitu ni haramu wanafanyaje?

Hapo labda ningeelewa!! But all in all something has to be done to strike a balance as long as my rights are not absorbed by anyone without my consent!
 
Reactions: Mbu

U are exempted then!
But what if wewe ndo umeoa huko?
 
Lol Babu bwana haya na ikitokea huyo mwenye rights zake ni bibi (aruhusiwe kwka Babu mdogo/mkubwa e.t.c. au utakataa kwa kuwa wewe ndo mwenye mamlaka ya mwisho kunyumba??
 
Mbu utetezi wako kwa DC kunanifanya nifikirie mara mbili. Are you among the minorities?

Mzee DC nimekuelewa concern yako but inanipa pia swali lingine wewe mminority unapoendaoa kwa majority, unategemea akuelewe unapoipractise hii haki?!

...yes, "minorities" ambao tunaamini an eye for an eye... (kama jamaa yangu,) mtu akinitenda lazima nami nimuonjeshe
machungu niliyoyasikia, na hata ikibidi niyaongezee na ya ziada ili akahadithie na wa kwao....---the devil in me!---
 
Lol Babu bwana haya na ikitokea huyo mwenye rights zake ni bibi (aruhusiwe kwka Babu mdogo/mkubwa e.t.c. au utakataa kwa kuwa wewe ndo mwenye mamlaka ya mwisho kunyumba??

Just seek consent to withdraw someone's rights.....Kwa hiyo ama yeye au mimi kuna mmoja atakubali kupeza rights zake!! Ndo maana nikasmea kuwa lazima ipatikane consent kabla hatujaanza kuhukumiana!
 
...yes, "minorities" ambao tunaamini an eye for an eye... (kama jamaa yangu,) mtu akinitenda lazima nami nimuonjeshe
machungu niliyoyasikia, na hata ikibidi niyaongezee na ya ziada ili akahadithie na wa kwao....---the devil in me!---

Hapana mkuu,

Sikumaanisha mambo ya kule ng'ambo...ya kummaliza mbaya wako (not jino kwa jino!!!).....Nilimaanisha kuwa ninazo haki za kuzaliwa kabisa, zinazoniruhusu bila kipingamizi kufanya haya ambayo MJ1 anajaribu kuleta hapa ili watu watoe hukumu as if ni haramu kwa kila mtu!!
 
Reactions: Mbu

...yes, "minorities" ambao tunaamini an eye for an eye... (kama jamaa yangu,) mtu akinitenda lazima nami nimuonjeshe
machungu niliyoyasikia, na hata ikibidi niyaongezee na ya ziada ili akahadithie na wa kwao....---the devil in me!---
............................ Okay. I rest my case then.
 
...spot on kaka, aaaahh---hahaha---

...nitarudi kuchungulia kesho (nikiamka salama),...hii malaria si malaria inaniumiza mwili na kichwa.
 
...mstaafu, mitizamo inatofautiana kama hii thread inavyosema lawama nimpe nani?...
mimi nasema hakuna wa kulaumiwa kwani kila kesi ni unique kwa mujibu wa muathirika...
ndio maana niliuunga mkono uliposema wanahukumiwa kwa sheria na kosa lipi...

usiku mwema kwa wote, lol...
 
Hadi hapo tuko wote mkuu,

Usingizi wako usipae...uwe mnono na unogeshwe ili Mola akiaalia tuonane hapa hapa kesho/J3!!
 
Reactions: Mbu

Mbu kama, na kama tu hauangukii kwenye kundi la DC kuwa kuna baadhi ya watu hii ni kawaida kwao (wewe unasema inategemea na kilichompelekea muhusika - mfano huyo Hero wako ambaye mie namchukulia kuwa alikuwa analipiza kisasi) bado wa kulaumiwa yupo, huyo atakayekubali kuwa victim wako (kama ilivyokuwa kwenye case ya Hero wako: mke wa binamu wake na mdogo wake).

Unless ukiwaendea kuwatongoza uwaambie kabisa kuwa ninafanya hivi kwa kuwa mumeo/dadako kaniumiza so nao iwaume na kuamua kuungana na wewe kwenye kulipiza kisasi then tutasema wote mlaumiwe ingawa wenyewe mtajiona hamna makosa kwani mlikuwa mnatimiza haki yenu ya kulipiza kisasi! .
Hii thread najuta kuianzisha ............I am learning some painful truth wajameni!.
 
....lol...dont be too quick in judging characters bana...take it easy xoxox
 
MJ1 hapa nawalaumu wahusika wote ,aliyetongoza na aliyetongozwa akakubali..
wote wana makosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…