Sokwe Mjanja
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 576
- 297
pole saana.....ni kawaida aisee but at the end of the day...mkikutana ina pay off....
wazungu wanasema how will i miss you if you always here????distance inaleta 'ku miss mtu'....
Ni kweli kabisa Boss ila inapendeza sana ikiwa mtatumia ku missiana kwa kuonesha upendo zaidi na zaidi basi......
the boss umenena vyema
hata mim ninakatabia cha hasira sana na kununa
mara kulaumu ooh hunijali mara mambo kibao kumbe nime miss tu
kwa hyo mshikajai usijisikie vibaya thts the way we are
Vifanye vyote anavyokulaumu
Pole sana dear, naona umeumizwa sana ila sometimes jiulize ni kipi unaweza kufanya ili kurudisha trust. Mara nyingi ni kwa kuongea na kwakumwambia muhusika kua hujaridhika na attitude yake.Si ndio itakuwa balaa zaidi kiongozi? Tunaweza tukashindwa kutimiza hata hayo malengo yenyewe tuliyojiwekea aisee
Well said...pole saana.....ni kawaida aisee but at the end of the day...mkikutana ina pay off....
wazungu wanasema how will i miss you if you always here????distance inaleta 'ku miss mtu'....
ukiona mwanamke ana lalalma sana ujue ndo kakumiss sana...
wengine wako hivyo..aisee...hawako direct..
Kwa kweli lamwaza zinakera sana. One of my co-workers, huwa anasema kwamba mkewe hana jema, most of the times ni kulalamika na kutafuta makosa. Kila akifanya mazuri mkewe hayaoni, yuko busy na makosa tuu.... the guy is fed up!!!
Kwa kweli, na sisi wakina dada/,mama, hebu tujiangalie, tuwape basi credit hata kidogo ndio unasema hilo kosa lalko, sio makosa tu kila wakati.
Kuna mwana pyscolojia mmoja alisema kwamba, mtu ambaye anaona makosa all the time ni NEGATIVE MINDED na in future, such a person is likely to be frustrated...the one who expect more than reality....
Pole zako kaka
Songíto;2670312 said:Mara nyingi haya mabo huja kwa sababu mbalimbali
1. Mara nyingi mtu akitendwa sana na akafikia wakati wa kukata tamaa kuwa hamna mwaminifu then unapokuwa nae kila wakati yeye huona kuwa ndo walewale na huendelea kuwaza mabaya akidhani utamtenda pia
2. Mara nyingi tabia hiyo ya kulalamikia haiji hivi hivi, inawezekana lipo jambo ulilowahi kumtendea mwenzako ambalo likampotezea uaminifu aliokuwa nao kwako, anaweza kuwa alikuambia amesamehe lakini ki ukweli bado linamuuma, so kila wakati hilo ndo linakuwa sababu ya kukufikiria mabaya tu
mmmmhhh, this is too much! alifanya hivo?Hata kama yako mapungufu zamani kiongozi si mkishasahameana huwa vinaisha na kupita, unajua kama ulikosea ukaomba msamaha vikaisha alafu kila mara unakumbushwa kuna hatari ukawa sugu na ukaanza kuvirudia
mmmmhhh, this is too much! alifanya hivo?