Fundisanifu JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 526 Reaction score 641 Jan 2, 2017 #1 Watu wa majeneza nao wanalalamika Biashara ngumu, eti magufuli kabana nyie jamaa hebu acheni masihara, sasa hapo Rais anahusika vipi??
Watu wa majeneza nao wanalalamika Biashara ngumu, eti magufuli kabana nyie jamaa hebu acheni masihara, sasa hapo Rais anahusika vipi??
mseytruu JF-Expert Member Joined Jul 16, 2015 Posts 339 Reaction score 285 Jan 2, 2017 #2 Wanataka,watu wafe kwa wingi!