Lawama zote ataangushiwa Herry Sasalli

Lawama zote ataangushiwa Herry Sasalli

Sasi hana shida ila mshika kibendera ndio katoa mpya, mtu anazidi karibu mita 4 humuoni!! Kweli soka letu kivyetuvyetu .
 
Sasi hana shida ila mshika kibendera ndio katoa mpya, mtu anazidi karibu mita 4 humuoni!! Kweli soka letu kivyetuvyetu .
Mkuki Kwa nguruwe ehee! Zile za Ihefu mlipobebwa mliona ni Halali eti?
 
Tumepoteza Tunajiandaa Kwa Mechi Inayofata Young Africans Hatuna Makasiriko Na Lawama Zisizo Na Maana.

Tumeona Makosa Tunaenda Kuboresha Tulipokosea Na Kupoteza Mchezo
 
Back
Top Bottom