Tetesi: LAWAMA

Jimmy MUsa

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2020
Posts
235
Reaction score
170
Ukiogopa sana lawama, hutaishi kuyafurahia maisha yako. Kumbuka, kuishi ni mara moja tu hapa duniani, na kuishi ni lawama. Lawama ni kwa walio hai, sifa ni kwa marehemu.Weekend ya lawama sana hii.
 
Wahuni wana msemo wao "lawama cheo"
katika harakati za maisha usipende sana kuitwa eti yule mshikaji hana noma, eti mwelewa saana dadeki

Aslimia kubwa ya watu wanaokuita hivyo ujue kuna sehemu wanakufaidi
Nashukuru kidogo baadhi yao wameanza kuniita bahili au cha roho mbaya.
 
lawama ni zao la tamaa, wivu, chuki, na kutoshika maandiko matakatifu
 
Ukiogopa sana lawama, hutaishi kuyafurahia maisha yako. Kumbuka, kuishi ni mara moja tu hapa duniani, na kuishi ni lawama. Lawama ni kwa walio hai, sifa ni kwa marehemu.Weekend ya lawama sana hii.
Stress mbaya jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…