NAMDORY Member Joined Feb 21, 2017 Posts 21 Reaction score 14 Mar 15, 2021 #1 Imesha kuwa chagizi , Maozi yana sumbuka, Hata palo na uwazi, Hatupawezi mufika, Jifunuwe uwe wazi, Tuone kwa uhakika, Twakuomba jua toka, yapate nuru.
Imesha kuwa chagizi , Maozi yana sumbuka, Hata palo na uwazi, Hatupawezi mufika, Jifunuwe uwe wazi, Tuone kwa uhakika, Twakuomba jua toka, yapate nuru.