Lawd hamercy!! This can’t be!!

Very unprofessional, with high negligence!

How comes media house yenye wahariri ifanye error ya kipumbavu kama hiyo?

Ujinga ujinga tu.

-Kaveli-
 
lema alikula miezi 5 gerezani kwa kutabiri kifo cha shujaa wa afrika,stamico nao wamekuja kwa style fulani amazing ya HONGERA KWA KIFO
 
Sidhani kama walikua wana nia mbaya...wahariri hawakufanya kazi yao ipasavyo
Nia siyo mbaya lakini ni uzembe wa hali ya juu sana sana. Kuanzia kwa mwandikaji, mchapaji na mhakiki kosa la wazi kama hili halikuonekana? Lakini haishangazi sana kwa sababu watanzania wengi sana utamaduni wetu ni uzembe na kutokuwa makini kwa mambo yote, labda kuiba tu. Kuandika ndiyo kabisaaa. Ukimsahihisha mtu anakutukuna.
 
Media error jamani.Halikuwa dhumuni la STAMICO.Tangazo limetoka vzr Stamico.Samahani kwa usumbufu na taharuki kwa Jamii.
 

Kwa uandishi huu mtaomba radhi hadi lini?
 
Hawa watu wa Stamico wamepotosha kiingereza kwa malengo gani? Inamaana hawajui nani alifariki?

Halafu hawa Daily News Paper hawana wahariri? Wanapokea na kuchapisha tu?



Baada ya Watanzania kuanza kuhoji, ndipo STAMICO wakaja na hii
 
Yaani nilipoiona tu hiyo habari nilishikwa na gadhabu sana hawa waandishi wa hili kampuni ni wapumbavu na wajinga sana wanatoa vipi habari ambayo haijahaririwa?? kama wana lengo baya juu Mama yetu samia wakome na washindwe kabisa au kigazeti chenyewe ni cha Magufuli nini??
 
Hapo wa kuchukuliwa hatua ni Daily News! Tena Mhariri
 
Hayo ni makosa tu ya kiuandishi, mama hawezi kukasirika ingekuwa Meko wangesha chukuliwa hatua kitambo sana
 
We dogo acha kushinda kwenye mitandao, ni-pm nikuunganishie ajira
 
Hayo ni makosa tu ya kiuandishi, mama hawezi kukasirika ingekuwa Meko wangesha chukuliwa hatua kitambo sana
Makosa kama hayo ni ya kizembe! Hivyo Wahusika wote wanastahili kabisa kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria za kazi na utumishi.
 
watu wanaka siku moja or mbii nzima Longo Kujioendeleza.Kujipendeleza means Kujitoa ufahamu pale tumbo linapochukua nafasi ya Kichwa...Njaaaa! ni Mwanamlegezo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…