Tetesi: Lawlrence Masha asije kuwa anajiokotea hizi kampuni zinazopata kipigo na jiwe

MABAKULI

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
1,754
Reaction score
1,645
Leo kwenye you tube naona masha anasema kampuni yake ya new forests nikashangaa na kusema mmbona kila kampuni inayopigwa jiwe masha anasema yangu hiyo asije kuwa anajiokotea tu kama wale mwaka 1967 kuna wazee mashambaboy waliokota had I nyumba mitaa ya samora dsm
 
Eti wamejiokotea nyumba mtaa wa samora..Unanikumbusha enzi za Twiga Holel kwa mzee wangu MN kutoka kanyigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo kwenye you tube naona masha anasema kampuni yake ya new forests nikashangaa na kusema mmbona kila kampuni inayopigwa jiwe masha anasema yangu hiyo asije kuwa anajiokotea tu kama wale mwaka 1967 kuna wazee mashambaboy waliokota had I nyumba mitaa ya samora dsm
Halima Mdee alishastuka mapema sana !
 
Back
Top Bottom