Hakeem makamba
Senior Member
- Apr 15, 2011
- 123
- 41
Mkurugenzi wa Mtendaji wa zamani wa Benki ya NBC Bw.Lawrence Mafuru ameshinda kwa kura nyingi nafasi ya kuwa mjumbe huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB. Pamoja nae Waziri Mkuu mstaafu Bwana Fredrick Sumaye naye pia alitetea nafasi yake. Source:Habari Mseto Blog