Hakeem makamba
Senior Member
- Apr 15, 2011
- 123
- 41
hizi nafasi huwa zinatangazwa saa ngapi bila wateja wao kuwa na habari?
Ungekuwa unamiliki hisa crdb usinguliza hili swali
Nyauba.Soma magazeti
una uhakika hasomi magazeti? na unajuwa anaishi nchi gani? haya magazeti ya online huwa yanaweka na hayo matangazo ambayo yanakuwa kwenye hardcopy?
Kwahiyo wewe ndio msemaji wake?
hivi siku hizi jf ni jukwaa la mashindano au kuhabarishana na kuelimishana?
Mwenyezi Mungu akusamehe maana hujui ulitendalo.