Enigma
Senior Member
- Feb 29, 2008
- 109
- 62
Waziri wa Mambo ya Ndani Bw. Lawrence Masha anatuhumiwa kuendeleza vitendo vya ufuska na kudaiwa kutumia nafasi yake ya Uwaziri kuhudumia hawala yake huyo kwa muda mrefu sasa. Hata hivyo haijulikani kama Waziri Kikwete au tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma ina habari yoyote ile
Bw. Masha ambaye ana mke na watoto watatu. Mke wake huyo anaitwa Stella Marealle. Habari zinazoenea kwenye mtandao (siyo JF) zinasema kuwa Bw. Masha ana hawala yake aitwaye Miriam Chingwile ambaye ni mtumishi wa mojawapo ya mashirika ya ndege ya Tanzania kama Cabin Crew. Inadaiwa pia kuwa Waziri Masha ndiye anamgharimia mwana mama huyo masomo katika Chuo cha Fedha IFM. Bi. Chingwile inadaiwa aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtoto mwingine wa kigogo aitwaye Kinjekitile (huyo ni mtoto wa Kingunge).
Zaidi ya yote Bw. Masha anadaiwa kumpangishia nyumba binti huyo maeneo ya Mbezi. Wapasha habari wetu wametutonya kuwa sababu kubwa ya Masha kuanzisha mahusiano hayo ya pembeni na kuyagharimia kutokana na nafasi yake ya Uwaziri ni madai kuwa mke wake amemzidi umri.
Licha ya binti huyo Bw. Masha anadaiwa kuwa na vidosho wengine kama kina Lulu, Lily Mziray, na Lorraine (kutoka Zimbabwe ambaye inadaiwa alipewa deportation order)
Madai haya yamekuja siku chache baada ya moratorium ya kutoingilia mambo ya binafsi ya viongozi kuvunjwa na watetezi wa CCM na hivyo kuashiria kuwa maneno ya Rais Kikwete kwenye mkutano Mkuu wa CCM mwaka jana kuwa hayana maana na hivyo katika mapambano haya wote ni ni fair game.
Habari zilizomfikia nzi wetu zinaonesha kuwa katika sakata la kutumia madaraka kujishughulisha na mambo ya ufiska Bw. Masha hayuko peke yake. Orodha ya viongozi kadhaa wa serikali, siasa, na taasisi za umma imemalizika huku orodha ya machangudoa, vidosho na mahusiano na baadhi ya watoto wa kike wa Sekondari zikiwa wazi.
Uperuzi wa haraka haraka wa orodha hizo unaonesha kuwa baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa wakitumia ziara mbalimbali nje ya nchi kwenda kufanya mambo yao ya ufuska au kutembelea wapenzi wao kwa gharama ya walalahoi.
Orodha hiyo inaonesha viongozi karibu wote ukiondoa wale ambao wamevunja mahusiano hayo miaka kama miwili iliyopita baada ya kuanza kupanda vyeo. Hata hivyo baadhi ya viongozi wa juu kabisa inaonekana hawajali na hawana mpango wa kufanya hivyo kwani wanaamini Watanzania hawajali mambo ya mahusiano ya viongozi wao kwa kadiri ya kwamba mambo hayo hayahusu mali, wakati au raslimali za Taifa.
Haijulikani kama Rais Kikwete anajua juu ya mazoezi ya viungo ya Waziri Masha anayoyafanya akitumia muda wa serikali na mali za umma na zaidi ya yote kuletea kashfa nafasi yake nyeti.
Tunaomba Bw. Masha ambaye ni mwanachama humu aje aelezee hizi tuhuma dhidi yake na kama wakati umefika kwa yeye kuachia cheo hicho cha umma.