Lawrence Masha na Miriam - Kashfa

Enigma

Senior Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
109
Reaction score
62
Waziri wa Mambo ya Ndani Bw. Lawrence Masha anatuhumiwa kuendeleza vitendo vya ufuska na kudaiwa kutumia nafasi yake ya Uwaziri kuhudumia hawala yake huyo kwa muda mrefu sasa. Hata hivyo haijulikani kama Waziri Kikwete au tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma ina habari yoyote ile

Bw. Masha ambaye ana mke na watoto watatu. Mke wake huyo anaitwa Stella Marealle. Habari zinazoenea kwenye mtandao (siyo JF) zinasema kuwa Bw. Masha ana hawala yake aitwaye Miriam Chingwile ambaye ni mtumishi wa mojawapo ya mashirika ya ndege ya Tanzania kama “Cabin Crew”. Inadaiwa pia kuwa Waziri Masha ndiye anamgharimia mwana mama huyo masomo katika Chuo cha Fedha IFM. Bi. Chingwile inadaiwa aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtoto mwingine wa kigogo aitwaye Kinjekitile (huyo ni mtoto wa Kingunge).

Zaidi ya yote Bw. Masha anadaiwa kumpangishia nyumba binti huyo maeneo ya Mbezi. Wapasha habari wetu wametutonya kuwa sababu kubwa ya Masha kuanzisha mahusiano hayo ya pembeni na kuyagharimia kutokana na nafasi yake ya Uwaziri ni madai kuwa mke wake “amemzidi umri”.

Licha ya binti huyo Bw. Masha anadaiwa kuwa na vidosho wengine kama kina Lulu, Lily Mziray, na Lorraine (kutoka Zimbabwe ambaye inadaiwa alipewa deportation order)

Madai haya yamekuja siku chache baada ya moratorium ya kutoingilia mambo ya binafsi ya viongozi kuvunjwa na watetezi wa CCM na hivyo kuashiria kuwa maneno ya Rais Kikwete kwenye mkutano Mkuu wa CCM mwaka jana kuwa hayana maana na hivyo katika mapambano haya wote ni ni “fair game”.

Habari zilizomfikia nzi wetu zinaonesha kuwa katika sakata la kutumia madaraka kujishughulisha na mambo ya ufiska Bw. Masha hayuko peke yake. Orodha ya viongozi kadhaa wa serikali, siasa, na taasisi za umma imemalizika huku orodha ya machangudoa, vidosho na mahusiano na baadhi ya watoto wa kike wa Sekondari zikiwa wazi.

Uperuzi wa haraka haraka wa orodha hizo unaonesha kuwa baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa wakitumia ziara mbalimbali nje ya nchi kwenda kufanya mambo yao ya ufuska au kutembelea wapenzi wao kwa gharama ya walalahoi.

Orodha hiyo inaonesha viongozi karibu wote ukiondoa wale ambao wamevunja mahusiano hayo miaka kama miwili iliyopita baada ya kuanza kupanda vyeo. Hata hivyo baadhi ya viongozi wa juu kabisa inaonekana hawajali na hawana mpango wa kufanya hivyo kwani wanaamini Watanzania hawajali mambo ya mahusiano ya viongozi wao kwa kadiri ya kwamba mambo hayo hayahusu mali, wakati au raslimali za Taifa.

Haijulikani kama Rais Kikwete anajua juu ya “mazoezi ya viungo” ya Waziri Masha anayoyafanya akitumia muda wa serikali na mali za umma na zaidi ya yote kuletea kashfa nafasi yake nyeti.

Tunaomba Bw. Masha ambaye ni mwanachama humu aje aelezee hizi tuhuma dhidi yake na kama wakati umefika kwa yeye kuachia cheo hicho cha umma.
 
Unashangaa ya Masha wakati serikali nzima ya JK imejaa uozo wa maadili.
Nenda Dodoma ukaone jinsi wabunge,mawaziri na viongozi wengine wakubwa serikalini wanavyopigania vibinti vidogo vya shule!!

We are living in a lawless country!
 
Siku hadi siku maadili yanazidi kuporomoka Tanzania; halafu tunajiuliza kwanini UKIMWI unatuone Africa? ni tabia tu, na kwa mwendo huu tabia hii inazidi kuota mizizi. Sijui nini dawa ya uasherati ili tuanze kuwapatia wamama wajawzito chanzo ili iwakinge watoto kabla hawajazaliwa manake jamii imeoza! Puhhh am speechless.
 
Miriam Chingwile! Kweli usilolijua usiku wa kiza.
 
Kama Mkulu mwenyewe ndio ilikuwa tabia yake unategemea nini ,utaambiwa acha chokochoko za maneno chapa kazi.
 
huyu naye tuliambiwa ana PACKAGE nashangaa mpaka sasa kimya
 
Ama kweli watu hawana la kuandika hadi kuamua kuyaleta mambo ya theutamu humu. Naona JF pameboa sana sasa kwa vile hakuna skendo kubwa za kitaifa za kuchambua. Watu wamebaki kutengeneza skendo za hapa na pale na kurudia zile za zamani basi tu ili mradi....jana ilikuwa Slaa leo Masha
 
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY


KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA
 
ushauri wa bure kwa ndugu yangu Lau😛olitical future yako ni angavu,you are smart and knowledgable,lakini wallah hili la wanawake kisiasa litakumaliza.nasikia kuna wakati unakaa level 8 kempinski uko mbwi na kufanya mambo ambayo hayastahili.wanaokusema humu si wote wanakuchukia,wengine wanakupenda na wangependa ufanikiwe.to start with achana na makundi ya Rose Garden yatakuharibia,tulia kama Ngeleja utafika mbali.
 
bwana mdogo masha, unapoamua kuwa kiongozi wa uma, ujue kuwa umeamua maisha yako yawe kama kioo, kila mmoja anajiangaia kwenye hicho kioo. sasa kama hutaki uwe kioo, njia ni moja tu rudi imma advocates.
 

Talking about kumkoma nyani giladi, haiwezi ku-get better than this oooh I love JF!

By the way, kuna kitabu hiki safi sana sio vibaya kukisoma on the subject:

"The Hunting Of The Presdient: 10 Years Campaign To Destroy Bill & Hillary"
By: Joe Conason & Gene Lyons.


Very interesting book.
 
...this is just the beggining. Kijana mdogo bado damu inachemka mwacheni na huo unaweza ukawa mwisho wake kisiasa.
 
na huo unaweza ukawa mwisho wake kisiasa.

You wish unhhh! mwisho wake kisasa Katika serikali ipi hiyo? What is the history yaani kiongozi gani bongo aliwahi kumaliza political career kwa sababu hii?

Unajua siasa kama sheria, ni about history anayafanya bwana mdogo kama ni kweli sio mazuri lakini hayatuhusu ni ya familia yake, absolutely none of our business, unless kama tuna sheria againt it, au?
 

So far kwangu hii hoja ndio ya msingi kwetu wananchi na taifa, sasa mtoa hoja hebu jaribu kui-develop hii hoja na hasa jinsi waziri Masha, alivyoutmia madaraka yake ya taifa kujishughulisha na ufuska, that should be our national interest kama kuna ukweli, otherwise it just another none ishu!
 
Unashangaa ya Masha wakati serikali nzima ya JK imejaa uozo wa maadili.
Nenda Dodoma ukaone jinsi wabunge,mawaziri na viongozi wengine wakubwa serikalini wanavyopigania vibinti vidogo vya shule!!

We are living in a lawless country!
Hapo hapo wanakuwa wakwanza kupiga kelele za kinafiki bungeni,....mimba watoto wa shule za msingi na sekondariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,wanaohusika wawajibishweeeeeeeeeeeeeeeeee,huku neno kuwajibishwa wakisemea mvunguni
 
Ufuska wake haunishughulishi sana. Kinachonitisha, na ambacho ninaomba maelezo zaidi ni jinsi bwana mkubwa huyu anavyotumia ngawira zetu kuendeleza libeneke. Hilo, sitamsamehe kama nikithibitisha kuwa analifanya. Kama ni ufuska, atajiju yeye na mungu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…