Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Philemon unanichekesha. yaani unamtetea masha kwua anachokifanya si cha ajabu halafu unamtaka abadilike!
Ufuska wake haunishughulishi sana. Kinachonitisha, na ambacho ninaomba maelezo zaidi ni jinsi bwana mkubwa huyu anavyotumia ngawira zetu kuendeleza libeneke. Hilo, sitamsamehe kama nikithibitisha kuwa analifanya. Kama ni ufuska, atajiju yeye na mungu wake
rose garden? kuna ubaya gani pale. yeye masha anaweza kufanya mawili kupabadilisha pale garden au yeye abadilike kwa kutoenda pale. akabadilisha pale wale mabitozi wakabadilika atakuwa amesaidia taifa zaidi
Philemon unanichekesha. yaani unamtetea masha kwua anachokifanya si cha ajabu halafu unamtaka abadilike!
acheni kumuonea huyu bwana mdogo..nani hana hawara hapa?...hata kama huna sio kazi yako kumfunga kamba mwanamume mwenzako..unless kama hizi tuhuma sio sehemu ya kampeni,...otherwise katika mawaziri vijana masha ,ngeleja,hussein mwinyi na deodotus kamala wanajitahidi..afteral..kama ni ufuska kikwete anaongoza....kama ni adhabu itakuja 2010
.....kwa upande mwingine kwa kuwa masha anapitaga huku...tunamuomba kama kuna ukweli kwenye haya ajitahidi kuwa na staha na kubadilika....
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY
KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???
MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK
LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA
NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA
engima!!!!kila mtu kwa starehe yake
bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee
WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA
WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA
acheni kumuonea huyu bwana mdogo..nani hana hawara hapa?...hata kama huna sio kazi yako kumfunga kamba mwanamume mwenzako..unless kama hizi tuhuma sio sehemu ya kampeni,...otherwise katika mawaziri vijana masha ,ngeleja,hussein mwinyi na deodotus kamala wanajitahidi..afteral..kama ni ufuska kikwete anaongoza....kama ni adhabu itakuja 2010
.....kwa upande mwingine kwa kuwa masha anapitaga huku...tunamuomba kama kuna ukweli kwenye haya ajitahidi kuwa na staha na kubadilika....
ndo mambo yale yale ya eti kwa vile watu wengi wanakula rushwa basi nami ngoja nile kidogo. au eti kwa vile watu wengi wanavuta bangi basi ngoja nami nivute.
jamani msihalalishe udhaifu eti kwa sababu nyinyi/sisi ni dhaifu.
kukemea udhaifu hata kama nasi ni dhaifu ni hatua nzuri, ni heri kuliko kukaa kimya ama kuunga mkono udhaifu.
Kuwa na kimada nje kwa mwanaume wa wala siyo mila ya Mwafrika, hiyo mmezusha nyinyi, bali ukweli ni kwamba kuwa na vimada nje ni aibu kwa mwanaume na hii inaweza kuvunja nyumba. mwanaume wa kiafrika ni kheri aoe hata wanawake kumi lakini siyo kuwa na vimada,
Wadanganyika tuache unafiki! Mi binafsi sioni tatizo akiwa na bi-mdogo na kumsomesha, na kugharamia, ndio chaguo la maisha yake, na pia ni mambo yao binafsi, pengine unyumba unayumba kwa mke mkubwa je? au mnataka mpaka mtu atangaze kila kitu??? sio mambo hayo, na pili hivi ni nani au ni mwanaume gani aliyeoa na mkewe ana watoto na yeye hana kimada nje? kama yupo basi hongera zake nyingi tu na abarikiwe kwa hilo. Kiufupi kama Masha ana kimada mmoja tu na wanaheshimiana basi hakuna tatizo ndio unaume wa kitanzania huo....(bisha!). Masha alaumiwe tu kama ana vimada vingi vingi au ana vichangudoa vya one night stand na anaonekana hadharani basi atakuwa ni mtovu wa nidhamu.
Na kuhusu kutumia pesa ya serikali, kwanini tuanze kumtupia lawama mtu tusie na uhakika kama anatumia pesa ya walipa kodi kuhudumia hawara, na tunawaacha wanaojuliikana waziwazi kuwa wamekwiba pesa ya serikali? mf EPA etc.... huu ni unafki wa watanzania sisi. Kama kweli tuna hasira na pesa ya walipa kodi iweje issue ya EPA iishie kwenye screen za computer zetu? hakuna lolote lililofanyika zaidi ya kupiga soga tu hapa? kama hatuna la kufanya jamani twende nje tupunge upepo na kucheza football kwa afya na sio kuleta umbea na kuharibu macho kwa kuangalia screen siku nzima. Lol
Mkuu heshima yako sana, siku hizi kuna open marriages ambapo mke na mume wanakubaliana kufanya mambo yao nje na kuendelea kuwa pamoja for the sake of kids ninazijua ndoa nyingi sana hapa Dar, za namna hiyo maneno yako yangekuwa na nguvu sana kama mke wa Masha angekuja hapa kulia,
Otherwise ni absolutely none of our business, labda tu utuambie ametumia hela ngapi au mali ngapi za taifa letu kwa hao vimada then it our damn business!