Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
well...its December na hili zoezi la kukusanya data za watu kupitia namba za simu linanifanya nijisikie un ease kwa sababu serikali yetu haiwezi kuaminiwa kwa not only data zaetu lakini ni serikali ambayo imejaa LEAKS kama vile french cheese na mifano ni jinsi private numbers za Rais zilivyotapakaa left and right hapo bado sijazungumzia wizara nyeti kama ulinzi walivyo lax kwenye data protection.
From personal experience I feel very uncomfortable kwa Kampuni ya kizembe kama ZANTEL kuwa na uwezo wa kukeep private data zangu bila kupoteza. The fact is that any major project initiated by the civil service is doomed to failure because they almost never conduct the due diligence that would be essential in the private sector. I mean Can i really trust mtu kama waziri wetu wa mambo ya ndani au sheria kutuliza wasi wasi wangu juu ya haya mambo kukusanywa kwa taarifa zangu? Hell no!
Kibaya zaidi ni kuwa wizara husika ni ile wizara ya bwana LAU ambaye kwa sababu anazozijua yeye na maswahiba zake wameamua kukaa kimya kuhusu hili bila kutuambia namna gani hizi data zitakavyotunzwa na nani na zitakuwa chini ya idara gani na zitakuwa regulated na nani na hawa jamaa wakipoteza hizi data watawajibishwa vipi