MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
Mimi nina laini tatu nilizinunua UK bila kuzisajili, Pia nilinunua lain South Africa bila kuisajiri. HAPO UNASEMAJE?
kuna Rafiki yangu kasajili simu kwa kitambulisho feki, maana wale wadada wa makampuni ya simu hawana muda wakukagua wala kuchunguza, wao wanataka photocopy ya kitambulisho bila kuuliza original, na jamaa alifoji ili kukwepa urasimu wa serikali za mitaa, maana hana kazi na line ya simu anaitaka.
kuna mtu huko juu ameshauri kua ilipasa serikali kuanza na vitambulisho vya mkazi wa Tanzania kabla ya haya, wewe unategemea ninini katika usajili wa mtu hana official ID, labda uwe kwenye ajila rasmi.heheheee he should be very proud as he has just cheated his arses.... kweli ubaya una mwisho