Habari za Leo wadau,
Naomba kujua kama kuna mabadiliko ya price kwenye vyakula vya kuku " MASH" katika mabadiliko yanayoletwa na budget mpya inayoanza Leo.Naongea haya kutokana na omission ya clause kwenye VAT act and Finance Act tofauti na ya mwaka 2013/2014.