Layman of economics

Layman of economics

Stratopause

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
751
Reaction score
1,461
Naomba niwaulize wadau wa sector iyo kwanini note zinapotea sarafu zinazidi from 200,500
 
Sasa pesa huna unategemea hizo noti uzione wapi? hili nalo ni la kuhitaji mchumi!
 
Kama uko dar es salaam na ni msafiri wa mwendokasi basi jibu kwa ajili ya mwendokasi mi sio mchumi lakini
 
Pesa ndogo ina mzunguko mkubwa kuliko pesa kubwa (ina shikwa na watu weng) pesa ya sarafu ni imara zaid kuliko pesa ya not. Ndo maana pesa nyng ndg zinakuwa sarafu sio not
 
Hiyo ni kwa sababu ya inflation. Ili uchumi wa nchi uonekane una afya inabidi uwe na ka inflation ka do go au ka inflation kwa mbali, kama vile chumvi kwenye mboga. Ina maana kama mia tano leo inanunua maandazi matano basi mwaka kesho hiyo hiyo mia tano inunue maandazi manne. basi ukienda hivyo kwa muda wa miaka kama mia mbele utakuta elfu tano ndo unaweza pata maandazi matano. Hivyo kupelekea elfu tano note iwekwe katika sarafu kwasababu ya kuwa na mzunguko mkubwa hivyo kuwa katika form ya sarafu haitachakaa kama note.
 
Back
Top Bottom